Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile.
Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana ( Chawa wa Mama ) ni Mzigo na Incompetent kwa Wizara husika, ila kama kawaida sikueleweka na Wasiojua Kufikiri.
Na kwa Upuuzi tulioufanya / uliofanyika Uwanja wa Mkapa kwa Taa zake kutokuwaka kwa zaidi ya dakika 25 hadi 30 Tanzania tutapigwa Faini Kubwa tu kwani kilichofanyika ni Uzembe mkubwa.