Halaf mond video yake ya eneka kakopi video ya R2bees ft wizkid tonight
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
😀😀😀 Craig David alishawahi kuimba 'Rise and Fall'...Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha
😀😀😀 Craig David alishawahi kuimba 'Rise and Fall'...
Mond ataendelea kuwa juu, mbn anatoa nyimbo nzuri tu, wewe ndio hupendi ila tunaozipenda bado tupo, hivyo kutokubali kwako nyimbo zake za sasa sio wote hatumuelewi........eneka and I miss you nazikubali sana tu
Hasira za team kiba wanazimalizia kwa diamondata mm nimeona mziki umemshinda kabisa
Post sent using JamiiForums mobile app
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha[/QUOTE
Kuisoma akili ya kiutafutaji ya mwenzio kunahitaji uwe akili nyingi zaidi.
Afu nashangaaa wenye original hawajapiga mayoweee .. mweee mashetani kwa chukii ... hatareeeeeduuuhh! kumbe kakopi
Hahahahaahaha ... kiba anapumuuuuuuInaumiza sana kuona mtu ana nyimbo tatu zinatamba kwa pamoja WAKATI MWINGINE ANAFANYA NYIMBO MOJA ZAIDI YA MARA TATU i mean aje remix
Post sent using JamiiForums mobile app
Shoga angu kwan ile siku yule doctor hakufanikiwa kuitoa ile mimba mbona bado una mihasira hivyo lohHabari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha
Ni kweli huu ndio huwa wanauita wivu.Huu si ndiyo huwa wanaita wivu?
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Viewers ni vitu gani kama sio watu?to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la