Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
😀😀😀 Craig David alishawahi kuimba 'Rise and Fall'...
 
Mond ataendelea kuwa juu, mbn anatoa nyimbo nzuri tu, wewe ndio hupendi ila tunaozipenda bado tupo, hivyo kutokubali kwako nyimbo zake za sasa sio wote hatumuelewi........eneka and I miss you nazikubali sana tu
 
basi wewe unafaa kupimwa akili, unapenda hadi ujinga
 
Inaumiza sana kuona mtu ana nyimbo tatu zinatamba kwa pamoja WAKATI MWINGINE ANAFANYA NYIMBO MOJA ZAIDI YA MARA TATU i mean aje remix

Post sent using JamiiForums mobile app
 
00e719e7914cd4106723d4c733afa101.jpg
6783a7256646c5d28ce5af5e3099ff24.jpg
ata mm nimeona mziki umemshinda kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha[/QUOTE
Kuisoma akili ya kiutafutaji ya mwenzio kunahitaji uwe akili nyingi zaidi.
 
Mashabiki wa kiba wanajitahidi sana ila Kiba habebeki
 
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
Shoga angu kwan ile siku yule doctor hakufanikiwa kuitoa ile mimba mbona bado una mihasira hivyo loh
 
to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la
Viewers ni vitu gani kama sio watu?

Boko.
 
Back
Top Bottom