Kwa aina hii ya wachambuzi, michezo imeingiliwa na mamluki. Ni hatari

Kwa aina hii ya wachambuzi, michezo imeingiliwa na mamluki. Ni hatari

1. Amecheza Mpira na anaujua vyema

2. Ni Mwerevu ( ana Akili )

3. Ni Mkweli.

4. Siyo Mnafiki.

5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.

6. Anajiamini.

7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.

Namkubali sana hata Yeye anajua.
Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.

Ni mnafiki, anasema hivi kesho anasema vile kwenye ishu hyo hyo moja.

Ni mwanaharakati wa soka sio mchambuzi, kama anachofanya ni uchambuzi kwa akili zenu, basi kuna tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi hii, especially kwa mashabiki wa mpira.
 
Ile kanzu ya mchambuzi na kubazi alizo vaa uku caption ikidai ni wakala asiyejua ki English Kwa hakika Aliye mpiga Ile picha alimuonea sana.
Yaani kupendeza na kuoga vzr, ni baada ya kusemwa sana.
 
1. Amecheza Mpira na anaujua vyema

2. Ni Mwerevu ( ana Akili )

3. Ni Mkweli.

4. Siyo Mnafiki.

5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.

6. Anajiamini.

7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.

Namkubali sana hata Yeye anajua.
Mwenyewe namkubali, harembi maneno, ukizingua ni makavu tu
Ndio maana labda anachukiwa
 
Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.

Ni mnafiki, anasema hivi kesho anasema vile kwenye ishu hyo hyo moja.

Ni mwanaharakati wa soka sio mchambuzi, kama anachofanya ni uchambuzi kwa akili zenu, basi kuna tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi hii, especially kwa mashabiki wa mpira.
Mwanaharakati wa soka kivipi?
 
Mambo yake muachie mwenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Jemedari tumemuweka pale kwasababu ya manara hyo ndo kiboko yake kwani ujinga anaofanya manara hamuoni
 
Wafuasi wa Yanga akili zap haziko sawa hili jambo aliwahi kulisema msemaji wao kipenzi, Wameingia kwenye mtego wa Manara kipuuzi sana. Jemedari hana shida na Yanga ila huwa ni msema ukweli kitu ambacho Manara hapendi hivyo amewatumia hawa mapopoma kuwaaminisha kuwa Jemedari anaichukia yanga na wao wamejaa
Hivi mchambuzi gani Manara hajagombana nae? Jemedari imekuwa ngoma ngumu coz jamaa mmbishi anasimamia ukweli. Ukimuuliza Shabiki wa Yanga kwann hampendi Jemedari majibu atakayokupa ndipo utaamini hawa jamaa ni weupe kichwani.
Na jemedari ni yanga damu sio kama yule msekule waliootoa simba anayelazimisha watu waamini ni yanga wakati ni simba
 
1. Amecheza Mpira na anaujua vyema

2. Ni Mwerevu ( ana Akili )

3. Ni Mkweli.

4. Siyo Mnafiki.

5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.

6. Anajiamini.

7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.

Namkubali sana hata Yeye anajua.
Si useme tu ukweli! Unamkubali kwa sababu na yeye ni popoma mbobevu kama wewe.
 
Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.

Ni mnafiki, anasema hivi kesho anasema vile kwenye ishu hyo hyo moja.

Ni mwanaharakati wa soka sio mchambuzi, kama anachofanya ni uchambuzi kwa akili zenu, basi kuna tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi hii, especially kwa mashabiki wa mpira.
Huna Akili.
 
Mwenyewe namkubali, harembi maneno, ukizingua ni makavu tu
Ndio maana labda anachukiwa
Hata GENTAMYCINE nachukiwa zaidi na Wapumbavu kadhaa walioko hapa Jamvini kwa 'Characters' zangu za kuwa Mkweli, Muwazi, Kutoogopa, Kutojipendekeza na kuwa Mnafiki.
 
1. Amecheza Mpira na anaujua vyema

2. Ni Mwerevu ( ana Akili )

3. Ni Mkweli.

4. Siyo Mnafiki.

5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.

6. Anajiamini.

7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.

Namkubali sana hata Yeye anajua.

Si ndio huyu alisema kuwa NABI hana vigezo vya kukaa bench la ufundi mashindano ya CAFCL??

So, No 2 na 3 hajakidhi vigezo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom