kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
- Thread starter
-
- #21
Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.1. Amecheza Mpira na anaujua vyema
2. Ni Mwerevu ( ana Akili )
3. Ni Mkweli.
4. Siyo Mnafiki.
5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.
6. Anajiamini.
7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.
Namkubali sana hata Yeye anajua.
Yaani kupendeza na kuoga vzr, ni baada ya kusemwa sana.Ile kanzu ya mchambuzi na kubazi alizo vaa uku caption ikidai ni wakala asiyejua ki English Kwa hakika Aliye mpiga Ile picha alimuonea sana.
Una tatizo la akili?Wee utopolo tulia
Mwenyewe namkubali, harembi maneno, ukizingua ni makavu tu1. Amecheza Mpira na anaujua vyema
2. Ni Mwerevu ( ana Akili )
3. Ni Mkweli.
4. Siyo Mnafiki.
5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.
6. Anajiamini.
7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.
Namkubali sana hata Yeye anajua.
Mwanaharakati wa soka kivipi?Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.
Ni mnafiki, anasema hivi kesho anasema vile kwenye ishu hyo hyo moja.
Ni mwanaharakati wa soka sio mchambuzi, kama anachofanya ni uchambuzi kwa akili zenu, basi kuna tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi hii, especially kwa mashabiki wa mpira.
Na jemedari ni yanga damu sio kama yule msekule waliootoa simba anayelazimisha watu waamini ni yanga wakati ni simbaWafuasi wa Yanga akili zap haziko sawa hili jambo aliwahi kulisema msemaji wao kipenzi, Wameingia kwenye mtego wa Manara kipuuzi sana. Jemedari hana shida na Yanga ila huwa ni msema ukweli kitu ambacho Manara hapendi hivyo amewatumia hawa mapopoma kuwaaminisha kuwa Jemedari anaichukia yanga na wao wamejaa
Hivi mchambuzi gani Manara hajagombana nae? Jemedari imekuwa ngoma ngumu coz jamaa mmbishi anasimamia ukweli. Ukimuuliza Shabiki wa Yanga kwann hampendi Jemedari majibu atakayokupa ndipo utaamini hawa jamaa ni weupe kichwani.
Si useme tu ukweli! Unamkubali kwa sababu na yeye ni popoma mbobevu kama wewe.1. Amecheza Mpira na anaujua vyema
2. Ni Mwerevu ( ana Akili )
3. Ni Mkweli.
4. Siyo Mnafiki.
5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.
6. Anajiamini.
7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.
Namkubali sana hata Yeye anajua.
Jemedari Said Mwamba wa miamba.Jemedari huwa haogopi kusema ukweliJemedari said Kazumari.
Mwamba wa Ilulu.
Dudumizi.
Jamaa ni mwamba haswa kiboko yao
Huna Akili.Kucheza kariakoo lindi, team ambayo hata wewe ungeamua kucheza ungecheza tu, ili mradi ukubali kucheza bure.
Ni mnafiki, anasema hivi kesho anasema vile kwenye ishu hyo hyo moja.
Ni mwanaharakati wa soka sio mchambuzi, kama anachofanya ni uchambuzi kwa akili zenu, basi kuna tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi hii, especially kwa mashabiki wa mpira.
Hata GENTAMYCINE nachukiwa zaidi na Wapumbavu kadhaa walioko hapa Jamvini kwa 'Characters' zangu za kuwa Mkweli, Muwazi, Kutoogopa, Kutojipendekeza na kuwa Mnafiki.Mwenyewe namkubali, harembi maneno, ukizingua ni makavu tu
Ndio maana labda anachukiwa
1. Amecheza Mpira na anaujua vyema
2. Ni Mwerevu ( ana Akili )
3. Ni Mkweli.
4. Siyo Mnafiki.
5. Hanunuliki hovyo na Wapuuzi.
6. Anajiamini.
7. Ndiyo Mchambuzi Bora sasa nchini.
Namkubali sana hata Yeye anajua.