Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia.
Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025 ulikata Ngebe zote za CCM na kuua Kila Matumaini yao walikua wakiyatumia enzi na enzi?.
Ndio maana CCM wanaitumia Kila mbinu ama kuisambaratisha CHADEMA au Kumpachika Mtu wao kama Kiongozi !!.
Sasa CHADEMA kama Chama cha Wananchi, ni mara mia kabisa tusiingize Chama kwenye maridhiano uchwara kama hayo MARIDHIANO hayatawahakikishia Watanzania KATIBA MPYA, DEMOKRASIA YA KWELI, MFUMO MPYA KATIKA SUALA ZIMA LA TUME HURU YA UCHAGUZI,HAKI NA UTAWALA WA SHERIA.