Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
 
ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa singida eti agombee ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno zaidi ya atakavyoshindwa na mwanamke kwa fedheha sana ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake chadema ukiwa finyu na mdogo sana...

siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan..

aina hiyo yamewafedhehesha sana watu wachapakazi wa singida kwasabb wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawamtaki tena aibu aliwapa inatosha..

hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa umma, nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni..
kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa..

actually,
mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.slaa kua mgombea urasi wa Chadema zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Kwa aina ya tume yenu ya uchaguzi iliyopo, hata Rais aliyeko madarakani sasa akigombea nafasi yoyote mfano ubalozi wa nyumba 10, udiwani, ubunge, nk kupitia chama cha upinzani; na yeye hawezi kushinda.
hata akisimamia John Mrema bado hatafanikiwa kushinda uchaguzi singida wala makamu mwenyekiti taifa wakati muafaka 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
😂😂😂😂😂
Kiekweli umenifanay nicheke sana, mimi naona humu mnakula pesa za bure, hivi kweli mtu ambaye anaingia Jamiiforums anaweza kweli kuamini hiz cheap propaganda zenu.? Kwanini msiwe mnaenda Facebook huko ambako kuna wadada wa kazi na wengineo ambao wanaamini ukichagua upinzani basi vita vitatokea
 
kama huna hoja, mawazo mapya au fikra mbadala ni busara kukaa kimya tu dhidi ya ukweli huo,

vita ya nini sasa kwenye mijadala muhimu na wa kiungwana kama huu? mie nadhani ni vizuri mkaendelea na vita zenu za propaganda na kuamini ushirikina huko Facebook...

lakini wengine kazi yetu ni kusema ukweli na kuamini Mungu 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Dogo unahangaika sana kama kuku anayetaka kutaga

Aliyekuakuambia lissu anataka ubunge ni nani?
 
Hivi huyo mwenye single digit IQ ambaye hata kuchaguliwa hakuchaguliwa anawatawala na mnampigia magoti, ndiyo mtu kama Lisu mwenye IQ kama ya Einstein ashindwe? Achieni Democracy basi muone. Kungekuwa na Democracy wote nyie mngekuwa mnaongea mengine, n huyo Bi Kidude angekuwa ana suka nywele saloon
 
nadhani anae hangaika na kubabaika ni wewe ambae hujazingatia vyema maelezo kwenye hoja ya msingi jukwaani...

ikiwa umeelewa vyema usingethubutu kumbwelambwela kama ambyavyo umefanya,

ungekuja na mbadala wa maelezo muhimu na ya maana sana dhidi ya hoja hiyo na bilashaka walau ungemake sense 🐒
 
Hivi huyo mwenye single digit IQ ambaye hata kuchaguliwa hakuchaguliwa anawatawala na mnampigia magoti, ndiyo mtu kama Lisu mwenye IQ kama ya Einstein ashindwe? Achieni Democracy basi muone. Kungekuwa na Democracy wote nyie mngekuwa mnaongea mengine, n huyo Bi Kidude angekuwa ana suka nywele saloon
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayoongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na katiba...

huifuatia maelekezo ya mtu wala watu eti Demokrasia yafaa iwe hivi au vile, ati uchaguzi uwe hivi wala vile. huo ni ushirikina.
Tanzania inatumia katiba kujiongoza.
hakuna huruma wala upendeleo kwenye hilo...

habari ya eti sijui kungekua na nini na nini hizo ni ramli na imani potofu...

ni wakati muafaka sasa wananchi wote kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa November 27, 2024 na uchaguzi mkuu 2025...

ukisusa, ukizira, ukigoma kwasabb zako binafsi hiyo ni haki yako pia wengine tutasonga mbele 🐒
 
Mkuu kwa heshima zote, punguza kujidharirisha.
ikiwa kusema ukweli kama huu ni kujidhalilisha, nakuhakikishia nitaongeza bidii zaidi ili mambo haya yafahamike na watu wengi zaidi...

kwasabb sio mambo ya kuficha haya, akigombea ubunge hawezi kupata, Urais hata hiyo nafasi pale chadema hana kabisa...

Chairman ana prefer mgombea mwingine kabisa tofauti na huyu mjamaa,

rejea maandamano ya mbeya, mara baada ya kuhitimisha maandamano yale , chairman taifa alimpa nafasi huyo ambae ndie atagombea uraisi kupitia chadema azungumze na wananchi...

huyu mzee wa kulalamika na kuomba omba akaachwa kwenye mataa japo alikasirika sana 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Sawa. Kakojoe Sasa ulale
 
Wewe ni kuku mgeni humu jamvini Lissu umemjua mwaka jana tu.
nadhani hata mtu atakaemjua leo atagundua tu ni wa kupenda kuonewa huruma, ni jamaa wa kulalamika lalamika tu na kuomba omba sana achangiwe n.k

wala haikuchukui muda kumsoma huyo muungwana ndio maana watu wa singida wanalamika kwamba ana waaibisha sana kwa tabia hizo 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Kutwa kucha unamuwaza yeye tu mbona usimuandike Lipumba au John Cheyo? Huyu mwamba hata Rais Samia mwenyewe anamgwaya hadi anamfananisha na Simba Dume yaani Mtawala, mtamuimba sana sana hadi 2025 atakuwa ni yeye tu. Siku zote mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe.
 
Back
Top Bottom