Kwa Akili kama za huyu mdau Tanzania bado sana kupiga hatua kwa vijana wa dizaini hii

Kwa Akili kama za huyu mdau Tanzania bado sana kupiga hatua kwa vijana wa dizaini hii

Papaa007

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,737
Yani wote tukashukie Stendi ya Magufuli, Mbezi wakati nakaa Kigamboni huyu ni bogas sana.

Huyu jamaa na wenzake ni makenge sana, yaani njaa zao ziwaletee abiria madhila na gharama, jinga kabisa haya machawa machafu
 
Mdau Kaongea Vyema Kabisa. Kujenga Kituo Kikuu Cha Ma basi Ina Maana Kwamba Mabasi Yote Yashushe Na Kupakia Huko. Magufuli Alipoamisha Stand Ya Ubungo Wananchi Walidai Kuwa Ni Mbali. Lakini JPM alivyo Na Msimamo Watu Wote Tukaenda Mbezi Sababu Miundo Mbinu Iko Vizuri. Njia Nne Unafika Kwa Haraka. Wale Wa Urafiki Wenye Mabus Hao Maboss Wanakula Na Viongozi. Nasemajee Kituo Cha Mbezi Kitakufa Viongozi Wanakula Pesa Pamoja Na Hao Wamiliki Wa Mabus. Hakuna Kiongozi Atakayewaamisha Kutoka Urafiki , shekilango Wala Pale Manzese.
 
Sijamsikikiza mpaka mwisho lakini yupo sahihi 100% labda kama kaharibu huko mwshoni.
Serkali ifsmanyie kaz huo upuuzi unaoendelea maana ya Kituo kikuu cha mabasi ithihirike.
Japo kuna watu watakula hasara kwa gharama za kujirudiarudia lakini watuvumilie tujenge nchi mwisho tutanufaika sote.
 
Kuna muda unaweza ukawa unamuona mwenzio kuwa ni mpumbavu kumbe ww ndio ukaonekana mpumbavu bila kujua.
 
Vituo vya mabuss kujengwa nje ya mji tulipigiwa.
Intercity buses vituo lazima vijengwe city center ya mji husika. Na si pambizoni.
Ona leo ukienda nanenane dodoma raia wanakikwepa kituo, ukienda pongwe tanga hali ni ileile. Ukija daslaam yaleyale.
Wangejenga palepale ubungo hakuna buss lingegoma kuingia.
Shida ilikua miundombinu. Wangeboresha ikawa 4ways track Kuja mpaka buss stage ingekua unyama.
Mbona reli yao hawajataka ianzie pugu huko wakakomaa mpaka ianze hapahapa city center?
 
Umesema vyema sana haufikiri ya kuwa ni vyema kupunguza misongamano mijini? huoni kwamba miji inapanuka kwahiyo kuweka kila kitu mjini kati inachangia kuongez msongamano. Hebu tuangalie kidogo kwa jinsi hao wenye ma basi walipo jiongeza wakaanzishia safari Chanika, Gongola mboto, nk walipunguza msongamano? bado naendelea kutetea wazo la kuiweka Stend Mbezi lina changia pakubwa sana kupunguza msongamano kati kati ya mji.
 
Back
Top Bottom