Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wote tukashukie Magufuli stendi mbezi wakati nakaa kigamboni huyu ni bogas sana
View: https://youtu.be/5e3teIkFNWM?si=2az5kylQXiX40gWI
Yani wote tukashukie Magufuli stendi mbezi wakati nakaa kigamboni huyu ni bogas sana
View: https://youtu.be/5e3teIkFNWM?si=2az5kylQXiX40gWI
😃😃😃😃😃😃Yani wote tukashukie Stendi ya Magufuli, Mbezi wakati nakaa Kigamboni huyu ni bogas sana.
View attachment 3020637
Katika vitu tunatakiwa kuvisapoti ni mpangilio ulio bora ktk majiji yetu, kushukia Mbezi nalisapoti kwa nguvu zote na tuheshimu mipangilio tunayojiwekea kwa maslahi mapana ya nchi yetu.Yani wote tukashukie Stendi ya Magufuli, Mbezi wakati nakaa Kigamboni huyu ni bogas sana.
View attachment 3020637
Afya ya akili inahitaji investment kubwa
www.jamiiforums.com
🙏SoC04 - Awakening the Minds of Tanzania: A 10-Year Vision for Mental Health Transformation
I. Introduction: Awakening to the Untapped Potential What if every mind in Tanzania was a wellspring of creativity and innovation, propelling our nation towards unmatched prosperity? The Comptroller and Auditor General's (CAG) 2022-23 report reveals a starkly different reality: a staggering 99%...www.jamiiforums.com
Umesema vyema sana haufikiri ya kuwa ni vyema kupunguza misongamano mijini? huoni kwamba miji inapanuka kwahiyo kuweka kila kitu mjini kati inachangia kuongez msongamano. Hebu tuangalie kidogo kwa jinsi hao wenye ma basi walipo jiongeza wakaanzishia safari Chanika, Gongola mboto, nk walipunguza msongamano? bado naendelea kutetea wazo la kuiweka Stend Mbezi lina changia pakubwa sana kupunguza msongamano kati kati ya mji.Vituo vya mabuss kujengwa nje ya mji tulipigiwa.
Intercity buses vituo lazima vijengwe city center ya mji husika. Na si pambizoni.
Ona leo ukienda nanenane dodoma raia wanakikwepa kituo, ukienda pongwe tanga hali ni ileile. Ukija daslaam yaleyale.
Wangejenga palepale ubungo hakuna buss lingegoma kuingia.
Shida ilikua miundombinu. Wangeboresha ikawa 4ways track Kuja mpaka buss stage ingekua unyama.
Mbona reli yao hawajataka ianzie pugu huko wakakomaa mpaka ianze hapahapa city center?