Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiitiw Fursa wewe ni FursaKuna mwanamke nimekutana nae facebook
Alianza kwaniuliza naishi wapi, nafanya kazi gani nikamwambia,
Nae akasema anafanya kazi ya kutoa taarifa na kulipwa
Katika kampuni moja linaloitwa EDMARK
Akaniambia nikitumia audio ya dk 15 unaweza ukasikiliza? Nikawmbia ndio akaniomba namba ya Whatsapp nikampa akanitumia nikaisikliza wanasema wana frusa mbili za kujiunga katika kampuni yao kuna frusa ya miaka 40na ya miaka 4
Fursa miaka 40 yenyewe haiitaji mtaji unacho takiwa ni kushawishi watu kwenda kununua bidhaa za edmark unalipwa kwa asilimia 10 ya manunuzi wanayo fanya watu ulio washawishi
Yamiaka 4 yenyewe inaitaji mtaji wa 453600
Ukisha lipa hiyo hela wanakupa bidhaa za EDMARK na point 300
Nakulipwa kila mwezi asilimia 10 kila watu wanao fanya manunuzi ya bidhaa za hilo kampuni
Halafu ukipewa hizo bidhaa ukipenda unauza au unatumia mwenyewe.
Baada ya kusikiliza hiyo audio akaniuliza umependa frusa ipi nikamwambia ya miaka 40 akasema hiyo fursa sisi hatuna
Nikaona huyu nikimuuliza maswali atakimbia
Basi nikamwabia hata hiyo ya miaka 4 siyo mbaya naiweza naomba nielekeze jinsi ya kujiunga
Fasta akasema kama upotayari nikutumie forx namba?
Nikamwambia nikotayari tuma tu
Akanitumia namba ya voda
Akaniuliza unatuma lini? Nikamwambia mda wowote akasema nimesha waambia kuna mtu anajiunga leo
fanya haraka kutuma hiyo 453600
Niwahishe mizigo yako stendi nikutumie mie kwa njia ya Bus
Nikamwambia sawa
Mpaka sasa sijafanya chochote
Ananitumia sms kibao nimenyamaza kimya
Nikaamua hii niilete kwenu wana JF wenzangu muione nakufahamishana
Kama hiyo kampuni ya EDMARK
Ipo na inautalatibu huo
Mojakwamoja kwa akili yangu nimengundua huyo alitaka kunitapeli
Uchunguz unaonesha kuwa,wanaume wa mkoani wakija Dar ndo wanawazidi ujanja na kuwatapeli wanaume wa Dar.Kuna jamaa yangu kanifuata ananiambia habari za eternal health and nutrients kujiunga ni tzs.60,000 ukijiunga ukawashawishi watu wajiunge unapata gawio kutokana ada zao nimwambia nitakutafuta nikiwa tayri ila nahisi harufu ya DECI
mkuu na hii ndo dawaa, mwnyw huwa nakimbilia huko japo huwa naomba asije nikubalia maana huwa sitegemei majibu ya nmekubali zaid ya kunipuuzanaishiaga kuwatongoza, ndio njia rahisi kuwakwepa.....
hakuna shortcut ya kutafuta pesa, lazima upambane...
yeah, atakupuuzia then anakimbia,,,coz anajua ushamstukia.....mkuu na hii ndo dawaa, mwnyw huwa nakimbilia huko japo huwa naomba asije nikubalia maana huwa sitegemei majibu ya nmekubali zaid ya kunipuuza
yeah, atakupuuzia then anakimbia,,,coz anajua ushamstukia.....