Kwa akili yangu nimegundua huyu alitaka kunitapeli

Kuna jamaa yangu kanifuata ananiambia habari za eternal health and nutrients kujiunga ni tzs.60,000 ukijiunga ukawashawishi watu wajiunge unapata gawio kutokana ada zao nimwambia nitakutafuta nikiwa tayri ila nahisi harufu ya DECI
 
Ukiitiw Fursa wewe ni Fursa
OVA
 
Kuna jamaa yangu kanifuata ananiambia habari za eternal health and nutrients kujiunga ni tzs.60,000 ukijiunga ukawashawishi watu wajiunge unapata gawio kutokana ada zao nimwambia nitakutafuta nikiwa tayri ila nahisi harufu ya DECI
Uchunguz unaonesha kuwa,wanaume wa mkoani wakija Dar ndo wanawazidi ujanja na kuwatapeli wanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar mnatuaibisha sana sisi wanaume halisi (wamkoani)
 
aisee hizi kampuni zimekuwa nyingi sana naona kuna upigaji huko..
 
naishiaga kuwatongoza, ndio njia rahisi kuwakwepa.....
hakuna shortcut ya kutafuta pesa, lazima upambane...
 
mkuu na hii ndo dawaa, mwnyw huwa nakimbilia huko japo huwa naomba asije nikubalia maana huwa sitegemei majibu ya nmekubali zaid ya kunipuuza
 
yeah, atakupuuzia then anakimbia,,,coz anajua ushamstukia.....
 
Yah wapuuzi sana hao ila kuna moja hilo la Alliance global hajawah vunjika moyo na kejeli zangu kwake
yeah, atakupuuzia then anakimbia,,,coz anajua ushamstukia.....
 
naishiaga kuwatongoza, ndio njia rahisi kuwakwepa.....
hakuna shortcut ya kutafuta pesa, lazima upambane...
Ukiwa mtu wakupenda mtelemko wa maisha ndo utaliwa
 
Nayo pia nidawa
mkuu na hii ndo dawaa, mwnyw huwa nakimbilia huko japo huwa naomba asije nikubalia maana huwa sitegemei majibu ya nmekubali zaid ya kunipuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…