Kwa akili za Kiafrika Demokrasia bado sana. Hayati Magufuli alikuwa sahihi; kujituma ndilo suluhisho

Acheni porojo zenu, Nchi za Africa zimekuwa chini ya tawala za madikteta na udikteta kwa zaidi ya nusu karne sasa.
 
Hiyo miaka 6 ya udikteta wake ni kipi cha maana alichokifanya?!!!zaidi ya kuitumbukiza nchi kwenye hali mbaya tu?!!Eti tuwe na namna yetu ya kujiongoza,kwa kizazi hiki cha viongozi waliojaa tamaa?akiwa rais ndio anajiona ana akili kuliko watu wote?Mi Afrika tuna laana,
 
Acha kupotosha watu mi nchi kibao Afrika karibia toka zipate uhuru zinaendeshwa ki dikteta mbona ndiko kwenye umaskini wa kutupwa?!!mfano huko West Africa!!tatizo sio mfumo bali ni watu mbona ulaya kiongozi akiiba pesa anapata adhabu inayostahili?!!sasa huku anayeiba pesa ndio alikusaidia kuwa kiongozi hapo kuna nini?!!Huyo jiwe aliyeanza udikteta uchwara kwa miaka 6 kuna nini cha maana alikifanya zaidi ya kuonea watu hasa ambao alikuwa na chuki nao?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…