naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
mimi huwa naulizwa we mngoni ni nini?
nawaambia sio,hawaamini
sielewagi why?
the perfect word is cocky lol
mi niulize kuhusu wachaga labda nitakujibu ila wangoni hata wa stori sijawai kumpata
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
nasikia mngoni bora umwachie pesa akuangalizie ila siyo mwanamke wako..ha ha
sijawahi kufikiria kabila kwenye ku-rate game!...ila niliokutana nao wote sijajuta mana nilijituma na walijituma haswaa kwenye mahaba!!..:tonguez:
wamefikia wangapi so far lol
Ahahahaaaah!!! Hii ni kali. Lakini mbona huku mtaani wasukuma ndio wanaogopwa!!wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.
lol Boss naogopa kutaja idadi kamili ila dar express linaweza kujaa...ha ha
Ia siyo watatu tu kama wengi wetu tunavyopenda sema!!..khe khe
he kumbe na wewe ni tunda?????
jamani tunda....lol
EH ulikuwa hujajua bado mi ni tunda na yupo wa kunila
mimi niliambiwa mwanaume wa kingoni mpe pesa akupelekee popote zitafika salama
hata mamilioni yatafika salama.....
but ole wako umwambie amsindikize mkeo sehemu..........lol
Hiyo stori hata mi ilinifikia
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
Kuna umuhimu wa kuwa na sehemu ya jinsia katika profile zetu.....!EH ulikuwa hujajua bado mi ni tunda na yupo wa kunila