Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

Haibishaniwi kama ni wanawake wamakua mwisho wa kazi wamekuja fanya kazi moja tu duniani kufurahisha kwa kwenda mbele
 
inanikumbusha dada mmoja apikuwa na mbabu wake siku moja mitaa ya sea cliff, huyo dada alishawahi kuwa na boyfriend wa kingoni sasa bana waiter wa kiume akawalete vinywaji jinsi yule mkaka alivyokuwa kwa mujibu wa huyo sistery ni km vile boyfriend wake huyo wa zamani aliyeporwa na rafiki yake. demu bana mwili ukamsisimka alipoondoka yule waiter dada si akaropoka bila kujua anamwambia babu yake aka buzi lake eti dah yule kaka handsome km mngoni! wamemtoa wapi waiter sharp nanma ile daaah babu machale yakamcheza mood ikabadirika ghafla babu akanuna 2hrs baadaye wakaondoka kurudi town jpili hiyo jioni km kumi na mbili wakawa pale kwenye mataa ya faya kutokea muhimbili demu akashtukia kibao kinatua shavuni cha nguvu bwaaaa jamaa linatia wewe malaya siku hizi unat... na wangoni eeenh! ndo maana unakatika sana siku hizi wameshakufundisha uhuni eeenh demu mwenyewe akili fyatu akafungua mlango akashuka mbio kukwea daladala.basi jtatu kaja job shavu limeumuuuuuka ananiambia mngoni sitaki kukuona unaona maumivu haya yooote sababu yenu wangoni,miee nijova eee pivina eeeeenh
 
Unajua tukikutana wenyewe kwa wenyewe ni neng'uli na kuneng'enula mpaka lukela.
 
wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.


Hahaaaaaaaaaaaaaaaa sijawahi cheka hivi, eeh kwahiyo ikiingia inakua kama inapika au inapakua duh.
 
Naskia wanavaaga shanga, afu viuno wanavizungusha kama senta boliti imekatika vile, wadada wanapenda kwenda kushudia zile shanga na hapo ndo wanapo nogewa. wangoni waleviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!:spit:
 
Dah mnazungumzia ukabila na raha ya kitandani? Havihusiani kabisa and im out
 
Haijalishi kabila jamani acheni umbumbumbu, hata wachaga nao wamo,jaribu muone
 
Nilipoanzisha thread kuhusu jirani mngoni nilipata wapinzani, naomba niseme kuwa hii nilikuwa sijaiona. Nafikiri ni ushahidi tosha wa jinsi gani ni hatari kuwa na jirani mngoni.
 
lol Boss naogopa kutaja idadi kamili ila dar express linaweza kujaa...ha ha

Ia siyo watatu tu kama wengi wetu tunavyopenda sema!!..khe khe


Mi mbona ulinambiaga watatu hapa mwaka jana tu.....mmmh...Belly we unaniumiza ivo moyo dah:A S-confused1::embarrassed1:
 
Am glad ni memba jf kwa kweli,ukweli unabaki ishu sio kabila ni utundu wako tu utakao usaidia kumfurahisha mpenzi wako.
 
mimi huwa naulizwa we mngoni ni nini?
nawaambia sio,hawaamini

sielewagi why?

The Boss, bwana, labda na wewe ya kwako mbele ni kama mwiko.!!!!!!!!!! Hila hii yako imenichekesha.
 
mi nilivyosikia kwa watu wa karibu ni kuwa wanaume wa kingoni wanapenda sana kutumia limbwata kama wanawake, thats why wakitongoza msichana huwa hawezi kuchomoka.
 
Asha, to be honest nimejikuta kuwa nimeipenda sana hiyo statement,
sijui kwa nini tu!
Bachache,
Nimeipenda sana signature yako, ila kumbuka kitu kimoja. NYUKI AKISHAKUUMA MARA MOJA,RUKHUSA KUMPIGA BUSU. Kwa hiyo si kwamba nyuki huwa hapigwi busu, hapana. Unatakiwa umwache akuume kwanza, halafu utampiga busu kiulaini sana. Ila sasa hata hivyo, kwa nini uwe na hamu ya kumpiga busu nyuki? What should be the motive behind? Ila signature yako imenifurahisha sana

 
Back
Top Bottom