MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
sukumaz ndo habare ya mujiniiiiiiiiiiiiiioi!!!!!( ooh sory)
hahahaaaaa kila la khel niko na imagine vileeeeeee looo ila wangu alipeperushwa aiseeeew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sukumaz ndo habare ya mujiniiiiiiiiiiiiiioi!!!!!( ooh sory)
Mmmmhhhh...nitafutiemo na mimi msukuma nithibitishe
hahahaaaaa kila la khel niko na imagine vileeeeeee looo ila wangu alipeperushwa aiseeeew
khakhaaaa mpaka bibi akapagawa si mchezo ujue tehetehe (jokes)
mi niulize kuhusu wachaga labda nitakujibu ila wangoni hata wa stori sijawai kumpata
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

Wanapenda sana kuhonga pesa lkn mapenzi kitandani ni F

Nasikia wana mauno hatari...