Jamani nahisi ni wote wanaume kwa wanawake wa kingoni ni wataalam wa mahusiano, kuanzia kuongea na wapenzi wao, treatment zao, na hata yale mambo ya kikubwa, mie kwa vile ni mwanamke naongelea mwanaume wa kingoni, huwa wanajua wamwambie nini mwanamke afurahi ndio maana wanaweza kuwa na wanawake hata wanne lakini kila mmoja kwa wakati wake, na hata wakigundua wamepangwa huwa bora wavumilie tu, Wangoni wanajua kuhudumia/gharamia mwanamke wake kulingana na kipato chake, huwa wacheshi huchoki kuongea nao sijui kwa nini ni karibu wote naowajua wako hivi,
Kwenye zile anga za ndani sio wavivu sijui huko kwao kuna kidarasa cha jando? maana laaaaa salaleeee utafikiria kile kitu chao ni mwiko halafu kinasonga ugali kwa sufuria lol? hatari lakini salama...... Wadada wengi wakigusa hapo huwa hawabanduki