beauty for real
Member
- Jan 21, 2015
- 59
- 18
Hiyo research bado mnafanya mbona hamleti mrejesho....???? Au Mapunda, Sokwe na wamewateka...?.mimi na pearl tumejitolea kutafuta wangoni kwa ajili ya research. Tutawapa report.
ok dear unataka nyani,mapunda au simba?
mimi huwa naulizwa we mngoni ni nini?
nawaambia sio,hawaamini
sielewagi why?
utakua unajua kukatika😉
na wewe ni dada wa kingoni?