kunani pale tanga
Member
- Aug 13, 2021
- 87
- 23
nissan serena c23 ya mwaka 1997 unazo?Tunauza spare za magari zote za japani, uingereza, singapore, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k.
Tupo barabara ya 20 Tanga.
Piga simu namba 0713276892.
Usisime spare, sema KWA HUSSEIN.
Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa mahitaji yako.Tunatoa ushauri wa kitaalam kuhusu matengenezo ya gari yako, Usikose kupiga simu.
Naomba upige simu namba 0713276892nissan serena c23 ya mwaka 1997 unazo?
Karibuni wateja, tuna spana za aina zote , pipes za diesel, screw drivers, kiti zakutest mfumo wa umeme wa gari nk. Karibu Alhusseiny auto parts, tanga
sawa naomba kujua una rejeta ya brevis ikiwa full ?
hayupo seriously mzee jibu hapa kwanza unazo na bei ni kiasi Gani?Naomba upige namba 0713276892