Anapata vizuri tu usiogope, aombe na St.Joseph wana nafasi nyingi sana kwa walimu wa sayansiRafiki yangu ana Phys-F,Chemi-D na Bios-E-form6 Mwaka 2013 Je,kuna uwezekano wakupata nafas course ya education
Sasa si atafelisha wengine na kuzaa FFF nyingi kwa watoto wetu? Please mkuu karisiti kwanza.
Oil Sumu unazijua Cut off za Muce