Kwa alama hizi anaweza kupata nafasi MUCE au UDOM ?

Kwa alama hizi anaweza kupata nafasi MUCE au UDOM ?

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Rafiki yangu ana Phys-F, Chemi-D na Bios-E. Form6 Mwaka 2013.

Je! kuna uwezekano akapata nafasi kwenye course ya education ?
 
Rafiki yangu ana Phys-F,Chemi-D na Bios-E-form6 Mwaka 2013 Je,kuna uwezekano wakupata nafas course ya education
Anapata vizuri tu usiogope, aombe na St.Joseph wana nafasi nyingi sana kwa walimu wa sayansi
 
Kwa hiyo D E kwenye sayans wanaweza kumchukua UDOM,ila ushindan ni mkubwa sana UDOM waombaj ni weng mno kuliko nafas
 
Kwa sayans watamchukua tu!kwan kuna uhitaj mkubwa sana wa sayans.We jiandae tu
 
Kwan mwaka huu TCU hawakutoa guidebook.???
Unachokifanya no udhalilishaji tu. Pitia guidebook itajb vizur swali lako.
 
Sasa si atafelisha wengine na kuzaa FFF nyingi kwa watoto wetu? Please mkuu karisiti kwanza.
 
Back
Top Bottom