Kwa alama hizi naweza kusoma udakitari ?

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufaulu kama ifatavyo;
1.Biology....C
2.Chemistry....B
3.Physics.....D
4.Mathematics.......D
5.Geography......D
6.English.......C
7.Civics......D
8.History......D
9.Kiswahili....D

Baadae mwaka 2011-2013 nikasomea chet kilimo na mifugo kwa miaka miwili na kupata First class 3.7.......Sasa katika kilimo na mifugo unasoma somo linalohusu madawa(Phamacology) na jinsi ya kutibu.
Sasa mimi napenda sana nikosomee mambo ya udactari wa binadamu hususani Dactari wa watoto na wamama ngazi ya DIPLOMA........Je naweza soma kwa ufaulu wangu huu?..........Ni kipi chuo kizuri?.........Au wewe unanishauri nini?..
ANGALIZO:Kama huna cha kushauri ni bora usome na upite tu kuliko kuanza kukejeri na kuandika maneno yasiyo ya hekima.
Asanteni.
 
First class ya chuo gan hii Mkuu...
 
Hapana kwa matokeo hayo unaweza kusoma clinical officer na ukafanikiwa ndoto zako.piga 0768566282 wanatoa kozi pharmacy name clinical officer
 
Back
Top Bottom