Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufaulu kama ifatavyo;
1.Biology....C
2.Chemistry....B
3.Physics.....D
4.Mathematics.......D
5.Geography......D
6.English.......C
7.Civics......D
8.History......D
9.Kiswahili....D
Baadae mwaka 2011-2013 nikasomea chet kilimo na mifugo kwa miaka miwili na kupata First class 3.7.......Sasa katika kilimo na mifugo unasoma somo linalohusu madawa(Phamacology) na jinsi ya kutibu.
Sasa mimi napenda sana nikosomee mambo ya udactari wa binadamu hususani Dactari wa watoto na wamama ngazi ya DIPLOMA........Je naweza soma kwa ufaulu wangu huu?..........Ni kipi chuo kizuri?.........Au wewe unanishauri nini?..
ANGALIZO:Kama huna cha kushauri ni bora usome na upite tu kuliko kuanza kukejeri na kuandika maneno yasiyo ya hekima.
Asanteni.