salum evarist
Member
- Sep 3, 2014
- 7
- 2
nimea apply Nursing pale UDOM lakin alama zangu zinanitia mashaka sana nina chemistry E, Biology B, geography B. ( three ya 12). naweza kuchaguliwa au nisahau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa mwanaume so tatizo mbona mzee yusuph anabana pua na kuimba taarabu haujaongea?
nimea apply Nursing pale UDOM lakin alama zangu zinanitia mashaka sana nina chemistry E, Biology B, geography B. ( three ya 12). naweza kuchaguliwa au nisahau?
ngoja nisubir ujue wasiwasi wangu ni hapo kwenye chemistry nimeharibu sana
Matokeo yako mazuri mkuu i hope utapata. Vipi hapo kwenye chemistry yaelekea Mkandawile hukumtumia ipsavyo au siku hizi kwenye chemistry nani anashika chati?
cku hiz mkandawile hana dili waliopo kwenye chat ni Unga na Ngaiza, lakini nao wanababaisha tu