Kwa alichofanya Bukoba hakika Mrisho Mpoto anapenda kiki

Inji hii buanaaaa, mwanaume akilia anaitwa mwanaume wa Dar analilia lia hovyo mwanaume apaswa kukaza, asipolia tena anashangaza...
Nji hii tabu sanaaaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule msanii eti mikocheni alienda bila viatu halafu anaangalia nani kaenda kwenye msiba na nani hajaenda
 
Haaaaa kijana umekuja na I'd mpya ila Avatar ile ile

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Nimemfuatilia baada ya ule utenzi/wimbo wake, dah jicho kavu kabisa wakati maudhui yake alitaka watu walie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpoto ndie aliyefanikiwa kugusa hisia za watu baada ya ule utenzi wake na wasingemuwahi watu walishaanza kupiga yowe

Muachage uongo

Kumbe humu wengi waongo wafitini na wazushi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…