kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba unawaza viwanda tu siyoAkishalia wewe unafikaje kwenye Tanzania ya viwanda?
Ndo maana ya kulilia moyoni uso mkavu moyo unalia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho uso huonesha kila kitu kabla ya moyoNdo maana ya kulilia moyoni uso mkavu moyo unalia[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule msanii eti mikocheni alienda bila viatu halafu anaangalia nani kaenda kwenye msiba na nani hajaendaAman iwe juu
Leo ndo nimeona mtu anajiliza nilikuwaga tu nasikia kuna watu huwa wanajiliza msiban
Yaan mtu analia jiko kavu kamaa dagaa Wa kigoma
Jamaa anajifanya kuongea kwa huzuni huku uson kakunja ndita, aise haya maajabu ya karne
Alafu cha ajabu jamaa anajiliza maboya nao wanalia kweli
Achen kutafuta kiki kwenye misiba ya watu
NEY YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa kijana umekuja na I'd mpya ila Avatar ile ileAman iwe juu
Leo ndo nimeona mtu anajiliza nilikuwaga tu nasikia kuna watu huwa wanajiliza msiban
Yaan mtu analia jiko kavu kamaa dagaa Wa kigoma
Jamaa anajifanya kuongea kwa huzuni huku uson kakunja ndita, aise haya maajabu ya karne
Alafu cha ajabu jamaa anajiliza maboya nao wanalia kweli
Achen kutafuta kiki kwenye misiba ya watu
NEY YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa jamaa hajitambui huyuYule msanii eti mikocheni alienda bila viatu halafu anaangalia nani kaenda kwenye msiba na nani hajaenda
Matukio jamaa kashazikwaAhsante kwa kutuletea taarifa kutoka msibani, tuletee list ya matukio yaliyojiri huko
Vihoja je vipi hakuna?
Mpoto ndie aliyefanikiwa kugusa hisia za watu baada ya ule utenzi wake na wasingemuwahi watu walishaanza kupiga yoweNimemfuatilia baada ya ule utenzi/wimbo wake, dah jicho kavu kabisa wakati maudhui yake alitaka watu walie
Sent using Jamii Forums mobile app