Satuuuu
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,849
- 1,993
Kati ya hao ulio ishi nao ni wangapi wanahio tabia mpka uweke ktk wote na sio wachache ?Kwa zaidi ya nusu ya maisha yangu ya miaka 32 nmeishi na hawa watumishi....hamna lolote wanagongwa sana na walah bikra hatoikuta kamwe maana atakuwa kafumuliwa long long long time ago.