endelea kumuogopa ivo ivo...ukipata upeo Wa kujua hii ni dhambi basi usijaribu kufanya iogope dhambi kabisaa.jitaidi sana kujiepusha na mambo yanayokufanya ujitenge na Mungu...Ni vyema umkose huyo sister kuliko kumkosa Mungu Wa milele..Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani).
toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.
Nani kakwambia ma6 wa ss ni mabikira hii sio karne ya 17 mkuu tena utakuta alishagawa sana papuchi hiyoMkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.
Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.
nashukuru
Nimekuelewaendelea kumuogopa ivo ivo...ukipata upeo Wa kujua hii ni dhambi basi usijaribu kufanya iogope dhambi kabisaa.jitaidi sana kujiepusha na mambo yanayokufanya ujitenge na Mungu...Ni vyema umkose huyo sister kuliko kumkosa Mungu Wa milele..
Inaelekea nawe ni mdau mkubwa kwaoukiona kajikomba kwako ujue ni mkombaji anajikomba kwingi take care pia hawana awareness na matumizi ya condom
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hii akili ipo active niceMkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.
Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.
nashukuru
Nimeingia kwenye Profile yako nilichogundua una matatizo ya akili....Mawazo yako
Muogope Mungu ww acha kuongea jambo lililo nje yako na huna uwakika naloNani kakwambia ma6 wa ss ni mabikira hii sio karne ya 17 mkuu tena utakuta alishagawa sana papuchi hiyo
AminaNimekuelewa
Nimeangalia mada zako zote nizakipuuzi na most ni za kutunga...Ulitaka picha