Kwa aliewahi kumpenda sister

Kwa aliewahi kumpenda sister

Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani).

toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.
endelea kumuogopa ivo ivo...ukipata upeo Wa kujua hii ni dhambi basi usijaribu kufanya iogope dhambi kabisaa.jitaidi sana kujiepusha na mambo yanayokufanya ujitenge na Mungu...Ni vyema umkose huyo sister kuliko kumkosa Mungu Wa milele..
 
Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Nani kakwambia ma6 wa ss ni mabikira hii sio karne ya 17 mkuu tena utakuta alishagawa sana papuchi hiyo
 
Nimekuelewa
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hii akili ipo active nice
 
Nani kakwambia ma6 wa ss ni mabikira hii sio karne ya 17 mkuu tena utakuta alishagawa sana papuchi hiyo
Muogope Mungu ww acha kuongea jambo lililo nje yako na huna uwakika nalo
 
Back
Top Bottom