Kwa aliewahi kumpenda sister

Kwa aliewahi kumpenda sister

We mleta mada unajitafutia dhambi kwa bidii sana. Aidha kwa kuwamsingizia huyo mtawa au kama ni kweli unaifuata dhambi ya uzinzi...
 
sasa wakati wa kutubu utaanzaje kumueleza padri kuwa ulikula sister?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole yako hilo ni wazo lako tu ni sawa na kumuona kijana mmoja mvuta bangi den useme vijana wa siku hizi ni wavuta bangi
Ww ni MROMAN CATHOLIC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa povu hili unafua mpaka gwanda duh?????
 
Kama huwa unasafiri, pendelea kulala kwenye hostel zao mfano Nyakahoja pale Mwanza badala ya kulala guest house za mtaani, utawapata kiulaini kwani mara tu unapopishana nao utawaona wanavyokuangalia kwa macho ya tamaaa
Ahsante sana mkuu kwa kushea na cc info h nzuri big up
 
Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani). Vipi lakini ile

toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.
Vipi lakini yule msichana uliye sex naye kule singida usha pata DNA test? Maana hiyo ulitujuza tarehe 6 ya January hii. Hata hivyo jumatatu ya hii wiki ulisema umekula mtoto wa Katesh na ukaahidi kuhamia huko maana unawala wengi tena wanadai elfu tano tu. Hao hawajatosha umehamia kwa watumishi?
 
endelea kumuogopa ivo ivo...ukipata upeo Wa kujua hii ni dhambi basi usijaribu kufanya iogope dhambi kabisaa.jitaidi sana kujiepusha na mambo yanayokufanya ujitenge na Mungu...Ni vyema umkose huyo sister kuliko kumkosa Mungu Wa milele..
Tena nyie wa hivi ndo wanafiki wakubwa na wazinzi
 
Ww ni MROMAN CATHOLIC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa povu hili unafua mpaka gwanda duh?????
Elimu na Maarifa ni muhimu kwa vijana haijalishi dhehebu kwani wao nao wanadamu wenzetu
 
Watatu. Wawili walisema wanasoma wawe clinical officers kama sikosei. Mmoja alikuwa anasomea pharmacy.

Watamu sana aisee kajaribu. Kitu mnato kinabana sababu kinatumika kwa wizi sana. Kama upo iringa nasikia wale wa jimboni kabisa kule karibu na chuo cha ualimu wanasifika sana kwa ukarimu wa kuwahudumia Kondoo wa bwana
Mkuu pia wakaratu nao wamo wana huruma kuliko binadamu wa kawaida
 
Inasaidia sana tukipata atleast a glimpse of who you are......

Profile yako inaonesha ni mtu mzima wa miaka 31... Ila unachoandika hapa JF inasikitisha sana
SHILAWADU hadi jamiiforum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Aliyekudanganya mabikira nani
 
Back
Top Bottom