Kwa alivyowekeza jirani yangu kapata faida au hasara?

Hii concept nilihitaj kuijua zaidi na calculation zake huenda ikanisaidia
 
Hii concept nilihitaj kuijua zaidi na calculation zake huenda ikanisaidia
fV = pV×(1+r/n)^(nt)
hapo
fV=thamani ya pesa ya baadaye
pV=thamani ya pesa ya sasa
r=mfumuko wa bei
t=miaka
n=idadi ya ongezeko la huo mfumuko wa bei
 
Hii concept nilihitaj kuijua zaidi na calculation zake huenda ikanisaidia
Hapo kwake...
pV = 350,000
r= 5 % (hii kacheki kwenye takwimu za serikali,NBS)
t= miaka 6
n=mara 1 kwa mwaka
Kwahyo
fV=pV(1+r/n)^(nt)
fV=350,000(1+5%/1)^(1×6)
fV=350,000(1.05)^6
fV=350,000×1.1025
fV=385,875

Hiyo 350,000 ya mwaka 2016 ilikuwa na thamani sawa na 385,000 kwa mwaka 2022
Kutokana na hayo mahesabu na kwa kuzingatia mfumuko wa bei wa NBS,
Mjamaa katengeneza faida.
 
ilikuwaje pikipiki yako ikashikwa...?
 
Hapa nimekuelewa mkuu umefafanua vyema

Japo ukilinganisha mfumuko wa bei wa 2022 na 2024 nahc utakuwa tofauti
 
Umechukua parameter ya cement why sio sukari,dollar au petrol
 
Umechukua parameter ya cement why sio sukari,dollar au petrol
Inflation rate hupimwa na bei ya bidhaa husika ndio maana nikachukilia mfano wa cement, kingine naweza angalia nondo kwani vyote vinahusiana na ujenzi
 
Ni wapi hapo Mkuu, pale karibu na shely ya GaPCo? Ndo nilionesgwa kiwanja milion 100
 
H
Hapa nimekuelewa mkuu umefafanua vyema

Japo ukilinganisha mfumuko wa bei wa 2022 na 2024 nahc utakuwa tofauti
Hapo mi nilipigia hesabu mpaka kipindi ambacho hiko kiwanja kimeuzwa...
So mjamaa alipata faida,
Ila ukitaka kupata mpaka ya 2024,hapo kwenye 6,weka 8.
Na inflation rate bado inabaki hiyohiyo 5%,.B.O.T imejitahidi sana kwenye kuzuia mfumuko.
 
Inflation rate hupimwa na bei ya bidhaa husika ndio maana nikachukilia mfano wa cement, kingine naweza angalia nondo kwani vyote vinahusiana na ujenzi
Since unaongela Ardhi, hapo ungesaka Data za bei elekezi za Ardhi zinazotolewa na serikali.
 
Inflation rate hupimwa na bei ya bidhaa husika ndio maana nikachukilia mfano wa cement, kingine naweza angalia nondo kwani vyote vinahusiana na ujenzi
Kuna bidhaa zinapanda sana bei tofautina zingine,mfano sukari,mafuta
 
H

Hapo mi nilipigia hesabu mpaka kipindi ambacho hiko kiwanja kimeuzwa...
So mjamaa alipata faida,
Ila ukitaka kupata mpaka ya 2024,hapo kwenye 6,weka 8.
Na inflation rate bado inabaki hiyohiyo 5%,.B.O.T imejitahidi sana kwenye kuzuia mfumuko.
Ok hapa nimekuelewa mkuu
 
Uwe unaongeza sifuri kwenye kila hela kwenye hiyo hesabu, utaona huo niuwekezaji mzuri tu, pesa aliyoweka ndio ndogo.
 
ilikuwaje pikipiki yako ikashikwa...?
Kipind kile jiji walikua wanazishika sana pikipiki maeneo ya mjini kama posta na kariakoo.. ilishikwa hana helmet na kashusha abiria sehem sio..bahati mbaya wakati inashikwa nilikua mkoani ufatiliaji kuikomboa nmemuachia mtu nae hakua serious hadi nitolee
 
Pole sana...Rafiki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…