kwa aliye-SINGLE TU.

kwa aliye-SINGLE TU.

Haya mambo ya wadada kutanguliza pesa yamewaponza wengi sana. Jamaa kipindi hana kitu unamdharau akipata unaanza kujisogeza uzuri vijana awaachi wanamega then wanasepa unaanza kutafuta mchumba JF Connect. Mwanaume hata 50 anaoa, mwanamke je, mpaka uwe na hela au kazi nzuri ndo uolewe.
 
Back
Top Bottom