Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini?
Nmb imewezeshwa ila inagoma ukienda wanakupa majibu laini
Nmb imewezeshwa ila inagoma ukienda wanakupa majibu laini