Mwakitobile
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 452
- 120
Habari zenu wanajf
Mimi ni msichana natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kuja kua mume na baba wa watoto wangu..
Ningependa awe kijana mwenye umri kuanzia 31 na asizid 35,Awe mkristu mcha Mungu,Awe na elimu ya juu nakuendelea,,Kwa mtu aliye siriazi ani PM.
we ndo mwenye shida ya mume,ni PM basi,hujui wanaume gharama karne hii oooh
utasubiri
Ku PM sijui, ila nichek kwa cm namba 0659751370 ili 2wekane sawa! Nina cfa na vigezo vyote uvitakavyo.