Mwakitobile
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 452
- 120
Habari zenu wanajf
Mimi ni msichana natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kuja kua mume na baba wa watoto wangu..
Ningependa awe kijana mwenye umri kuanzia 31 na asizid 35,Awe mkristu mcha Mungu,Awe na elimu ya juu nakuendelea,,Kwa mtu aliye siriazi ani PM.
Hivi ukiwa na elimu ya juu ndiyo kigezo kikubwa cha kuwa mume bora,jiangalie dada kuna watu humu wana shahada za juu za Nuclear Science na Atomic Science,lakini nguvu za kiume zote wameziacha maabara kutokana na kuchezea mionzi.Choose a better choice