HahahaMadhara hayo ya vita yakamkuta hata chakubanga aliyeko mbagala kwa kupandishiwa nauli ya daladala na yeye akabaki amekenua meno asihoji kwa nini na nani kasababisha.
Bunge rubber stamp ya atakacho Putin sawa na bunge la ccmWHO IS NEXT
Russian parliament approves law allowing Putin to invade other countries
Huyu bwana Putin ni smart sana hakurupuki kama wengine .
Wengine wanaweza kukurupuka tu asubuhi na kuanzisha vita bila baraka za bunge la nchi yake na kusababisha madhara.
Madhara hayo ya vita yakamkuta hata chakubanga aliyeko mbagala kwa kupandishiwa nauli ya daladala na yeye akabaki amekenua meno asihoji kwa nini na nani kasababisha.
Ni kweli ni bunge lake kabisaWHO IS NEXT