Michael Richard
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 166
- 496
Wazee,
Mimi nipo Mbagala naomba kuuliza kwa wanaojua au kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express. Mimi nataka kuagiza kitu kupitia Ali express ila inanishinda.kwa sababu nilishazoea kuagiza kupitia alibaba.
Na kwa alibaba ipo ivi na mtumia supplie wang Address ya agent wangu na yeye anamtumia mzigo wangu then agent wangu ananisafirishia mpaka Dar.
Sasa kwa Ali Express imekuwa tofauti kigodo huku nimekuta mpak uwe na adress yako nchini kwako na mimi sifahamu hata moja naombeni maelekezo yenu kwanae fahamu [emoji120]