Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Mbagala ipo mkoa gani?Mm nip mbagala kaka
Mbagala ipo wilaya gani?
Uko mbagala mtaa gani? Nyumba namba ngapi?
Ukitaka kuweka postal code angalia pdf hapo juu
Majibu ya hapo ndio adress yako, mfano:
Barabara ya mwinyi, 15113
Mbagala, Kinondoni.
Dar-es-salaam