Kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express

Michael Richard

Senior Member
Joined
Mar 29, 2023
Posts
166
Reaction score
496
Wazee,

Mimi nipo Mbagala naomba kuuliza kwa wanaojua au kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express. Mimi nataka kuagiza kitu kupitia Ali express ila inanishinda.kwa sababu nilishazoea kuagiza kupitia alibaba.

Na kwa alibaba ipo ivi na mtumia supplie wang Address ya agent wangu na yeye anamtumia mzigo wangu then agent wangu ananisafirishia mpaka Dar.

Sasa kwa Ali Express imekuwa tofauti kigodo huku nimekuta mpak uwe na adress yako nchini kwako na mimi sifahamu hata moja naombeni maelekezo yenu kwanae fahamu [emoji120]

Unachotakiwa hapo ni kujaza taarifa wanazotaka muhimu zaidi ni namba yako ya simu inayopatikana sababu parcels za aliexpress mara nyingi zinapitia posta, so ukifika posta watakupigia simu ukafuate mzigo wako
 
Hiyo adress ya posta sina embu nielekeza naipataje
 
Agent wako ni nani, muweke hapa nasi tutamtumia huko alibaba
 
Hiyo adress ya posta sina embu nielekeza naipataje
Haina ulazima uwe na anuani ya posta, muhimu ujaze mkoa uliopo hiyo ndo muhimu, mzigo wako utafikia posta kisha posta watakutafuta wao mzigo ukifika
 
Haina ulazima uwe na anuani ya posta, muhimu ujaze mkoa uliopo hiyo ndo muhimu, mzigo wako utafikia posta kisha posta watakutafuta wao mzigo ukifika
Ulazima upo kwasababu huikuruhusu kulipia bila kujaza ile address mkuu
 
E-BOOK ya jinsi ya kuanza kifanya Freelauncing online ipo Ni 5000 Tzs nakutumia ina maelekezo ya kutosha
 
Sijui unanielewa sina address yakujaza hapo so naipataje mkuu
Ni kitu rahisi ila una complicate

Jaza nchi yako
Mkoa wako
Wilaya yako
Mtaa wako
Postcode ya unapoishi(ingia Google utazipata)
Namba yako ya simu

Kaa subiri mzigo wako utaupata kwa Shirika la posta au speedaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…