Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
3,278
Reaction score
7,966
Wakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?
 
Mbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Kwa uzoefu wangu, voda inachukua 1 working day. Ukituma leo jumatatu inaingia jumanne. Kama ilitumwa jumammosi, inaweza ikaingia hata jumanne maana weekend days jazihesabiki kama working days.
On the other hand, tigo ni hapo hapo hela inaingie, iwe weekend au siku ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushukuru sana mkuu nilijua nimepigwa changa.
 
Wakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?

Mi naishi nje,huwa naitumia mara kadhaa kwa ajili ya ndugu zangu tanzania,nikiagiza tigo inafika muda huo huo ila voda inachukua siku moja kuwa delivered nadhani wanamikataba tofauti na hizi kampuni,japo sijui hii ni worldwide au ni sheria ya nchi ninayoishi au mimi.Sina uhakika no that


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamaa kani screenshot hii sijui ndivyo ilivyo au vipi?
 
Vipi charge zao zipo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…