blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Wakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InstantlyWakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?
Mbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!Instantly
Nahisi Voda bado wanachelewesha unapata kesho yake...Acha niangalie nikupe jibu sahihiMbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Nita kushukuru sana 😂😂Nahisi Voda bado wanachelewesha unapata kesho yake...Acha niangalie nikupe jibu sahihi
Kama upo Dar,Mbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Ngoja nivute subira ikishindikana nitaenda huko
Kwa uzoefu wangu, voda inachukua 1 working day. Ukituma leo jumatatu inaingia jumanne. Kama ilitumwa jumammosi, inaweza ikaingia hata jumanne maana weekend days jazihesabiki kama working days.Mbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Nita kushukuru sana [emoji23][emoji23]
Nakushukuru sana mkuu nilijua nimepigwa changa.Kwa uzoefu wangu, voda inachukua 1 working day. Ukituma leo jumatatu inaingia jumanne. Kama ilitumwa jumammosi, inaweza ikaingia hata jumanne maana weekend days jazihesabiki kama working days.
On the other hand, tigo ni hapo hapo hela inaingie, iwe weekend au siku ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru sana mkuu nilijua nimepigwa changa.
Kweli nimejifunzaUsiwe na hofu mkuu. Next time tumia tigo pesa kama ni jambo la dharura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?
Jamaa kani screenshot hii sijui ndivyo ilivyo au vipi?Mi naishi nje,huwa naitumia mara kadhaa kwa ajili ya ndugu zangu tanzania,nikiagiza tigo inafika muda huo huo ila voda inachukua siku moja kuwa delivered nadhani wanamikataba tofauti na hizi kampuni,japo sijui hii ni worldwide au ni sheria ya nchi ninayoishi au mimi.Sina uhakika no that
Sent from my iPad using JamiiForums
Jamaa kani screenshot hii sijui ndivyo ilivyo au vipi?View attachment 1072346
Vipi charge zao zipo juu?Mi naishi nje,huwa naitumia mara kadhaa kwa ajili ya ndugu zangu tanzania,nikiagiza tigo inafika muda huo huo ila voda inachukua siku moja kuwa delivered nadhani wanamikataba tofauti na hizi kampuni,japo sijui hii ni worldwide au ni sheria ya nchi ninayoishi au mimi.Sina uhakika no that
Sent from my iPad using JamiiForums
Voda wapo slow sana leo ndiyo nimejua.
hii ni njia salama sana, naitumia kila mwezi.Wakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?