Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
voda inaweza chukua hata siku mbili, siku nyingine atumie Tigo ni instantMbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
voda inaweza chukua hata siku mbili, siku nyingine atumie Tigo ni instantMbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
voda wana delay sanaNahisi Voda bado wanachelewesha unapata kesho yake...Acha niangalie nikupe jibu sahihi
Mimi natumia sana hapa souz iko vzur na fastaWakuu! Kwa ambaye amewahi kutumia worldremit kupokea pesa kutoka nje, inachukua muda gani pesa kukufikia? Je njia hii ni salama?
Voda inachukua 24 hrs tigo same timeMbona kuna mtu katumiwa tangia mchana hadi sasa hajapata yeye anatumia voda!
Shukran mkuu voda kumbe hamna kitu wanajidai ni mtandao mkubwa kumbe hamna kituvoda inaweza chukua hata siku mbili, siku nyingine atumie Tigo ni instant
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa voda kumbe wanaweza kukulaza njaa
Souz una maana Afrika Kusini?Mimi nipo Pietmaritzburg nimekuwa nikitafuta ofisi zao huku A Kusini nimeshindwa kufahamu wapi zilipo? Ofisi zao ziko mji gani ndugu ?
Mm nimetumia tigopesa dk 10 zilizopita bdo cjpt wkt last time ilikua instantly,wamekua slowUsiwe na hofu mkuu. Next time tumia tigo pesa kama ni jambo la dharura.
Sent using Jamii Forums mobile app