GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mgeni rasmi mama samia kwenye mechi iliyokuwa imeahirishwa mkuu.Halafu kwanini kwa kuwaonesha ninyi ni kiboko yao MSIENDE MKAWASHENYETE PALE PALE MBELE YA MAMA.Kuwathibitishoa kwamba waliwakimbia.mmekimbia wenyewe na bado mnahangaika kuwawaza Yanga!! Mlichofanya ni kuhairisha tatizo kwa muda tu, hakika mambo bado ni magumu kwenu
unafikiri huyo mgeni rasmi ni mpumbavu kiasi hicho akubali kuaibushwaMgeni rasmi mama samia kwenye mechi iliyokuwa imeahirishwa mkuu.Halafu kwanini kwa kuwaonesha ninyi ni kiboko yao MSIENDE MKAWASHENYETE PALE PALE MBELE YA MAMA.Kuwathibitishoa kwamba waliwakimbia.
Tutaona,msimtukane TU mama wa watu,mkamwta kiherehere.Kamuulize FAISAL TOTO.unafikiri huyo mgeni rasmi ni mpumbavu kiasi hicho akubali kuaibushwa
yanga walisha sema hawaendi, mgeni rasmi aende acheze na simba na bodi ya ligi
huu ujumbe hauendani kabisa na kilichotokea juzi"Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar.
Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
Rais hawezi ingia kichwa kichwa kwenye mzozo kama huo. Unadhan ikulu hawatafakari itakuwaje kama ataalikwa Rais na bado yanga wakagomea mechi? Unadhan Rais haogopi aibu na kujipotezea mtaji wa siasa?Mgeni rasmi mama samia kwenye mechi iliyokuwa imeahirishwa mkuu.Halafu kwanini kwa kuwaonesha ninyi ni kiboko yao MSIENDE MKAWASHENYETE PALE PALE MBELE YA MAMA.Kuwathibitishoa kwamba waliwakimbia.
Hamjui nguvu za Raisi wa Tanzania.Rais hawezi ingia kichwa kichwa kwenye mzozo kama huo. Unadhan ikulu hawatafakari itakuwaje kama ataalikwa Rais na bado yanga wakagomea mechi? Unadhan Rais haogopi aibu na kujipotezea mtaji wa siasa?
Mama atakua na washauri wa hovyo akijiingiza kwenye hayo makitu ya simba na yanga na bila shaka hawezi wagawa wapiga kura wake.Rais hawezi ingia kichwa kichwa kwenye mzozo kama huo. Unadhan ikulu hawatafakari itakuwaje kama ataalikwa Rais na bado yanga wakagomea mechi? Unadhan Rais haogopi aibu na kujipotezea mtaji wa siasa?
mwambie akubali mwaliko wa kipumbavu atajuta.Tutaona,msimtukane TU mama wa watu,mkamwta kiherehere.Kamuulize FAISAL TOTO.
Subirini mwaliko wa iftar hapo kila kitu kitamalizwaRais hawezi ingia kichwa kichwa kwenye mzozo kama huo. Unadhan ikulu hawatafakari itakuwaje kama ataalikwa Rais na bado yanga wakagomea mechi? Unadhan Rais haogopi aibu na kujipotezea mtaji wa siasa?