Kwa anachofanya Trump kwa sasa, tumepata Hitler wa kizazi hiki

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1767990811193.png

Marekani, taifa lililojengekwa kwa ujambazi na utumwa, limerudia asili yake.

Leo, limechukua mafuta ya Venezuela.

Kesho, hatujui litachukua madini ya nani.

Kesho kutwa, hatujui litawachukua watu gani kuwafanya watumwa.

Mtondo, hatujui litakuja na mpya gani.

Mtondogoo, hatujui, litaanzisha aina gani ya ubazazi na ujambazi.

je, China, jogoo pekee aliyepo, itaendelea kuangalia.

Itafanya hivyo ili nayo baadaye ifanyiwe kitu mbaya?

Sitashangaa anayefuata akawa ni toka Afrika.
 
View attachment 3527615

Akili ya Trump anaijua mwenyewe. Siku akili yake ikimtuma kuichukua hata Zanzibar yetu kwasababu anazozijua mwenyewe, atatafuta kisingizio cha kuichukua. Yule mazafaka anaweza kukupora hata mke brazenly!
 
Back
Top Bottom