Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia ya kwanza watege, ukishamnasa mmoja na kumuua mtundike sehemu awe anaonekana wazi, nyani watahama eneo hilo. Njia ya pili tafuta wenye leseni ya bunduki za shambani, wakipigwa risasi wawili kwa mkupuo, nyani watahama kabisa eneo lako. Njia ya sumu sio nzuri, japokuwa inaweza kuwauwa wengi kama utatumia ndizi mbivu, lakini hakikisha sumu hiyo hainuki.Wajumbe!! Naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya nyani. Siendelei kwa sababu yao, wanakula sana vifaranga wangu.
Nawasilisha.
Njia ya kwanza watege, ukishamnasa mmoja na kumuua mtundike sehemu awe anaonekana wazi, nyani watahama eneo hilo. Njia ya pili tafuta wenye leseni ya bunduki za shambani, wakipigwa risasi wawili kwa mkupuo, nyani watahama kabisa eneo lako. Njia ya sumu sio nzuri, japokuwa inaweza kuwauwa wengi kama utatumia ndizi mbivu, lakini hakikisha sumu hiyo hainuki.
Pole, na mimi walinisumbua sana Mkuranga, baada ya kuwatwanga risasi, nina miaka mitatu sasa hawatii timu pale.
Jf raha sana. Mm sikujua kama nyani anakulaga vifaranga
Ukicheza anachukuwa vfaranga wakubwa kabisa tena wale ambao umeshapanga hata bei kabisa...
Naungana na bwana Malila.nyani wana akili sana na wanakumbukumbu kubwa.kitu muhimu kuliko vyote kwao ni usalama.wakijua hatari ilipo hawakanyagi tena.shambani kwangu mwaka jana walikuwa wanasumbua ocassionally.Nikapata kijana mmoja akawa anawakimbiza na mbwa.basi akiwepo kambini hawaji.haikuwa tatizo sana.
Sasa nimepata mitego,msimu huu watanitambua.wapo pamoja mate wao nguruwe pori
Njia ya kwanza watege, ukishamnasa mmoja na kumuua mtundike sehemu awe anaonekana wazi, nyani watahama eneo hilo. Njia ya pili tafuta wenye leseni ya bunduki za shambani, wakipigwa risasi wawili kwa mkupuo, nyani watahama kabisa eneo lako. Njia ya sumu sio nzuri, japokuwa inaweza kuwauwa wengi kama utatumia ndizi mbivu, lakini hakikisha sumu hiyo hainuki.
Pole, na mimi walinisumbua sana Mkuranga, baada ya kuwatwanga risasi, nina miaka mitatu sasa hawatii timu pale.
kwa uzoefu wangu wa kijijini miaka ile, dawa kubwa ya kufukuza nyani, kama utabahatika mtu akawa na bunduki ya gobole, we wavizie wakiwa wamekusanyika kwenye shamba lako, piga katikati ya kundi hata kama hautaua hata mmoja, ule mshindo wa gobole, watakimbia sana hadi kuja kujikusanya kila mmoja huwa amekimbia kilomita nyingi sana, ajabu yake ktk kipindi kama hicho cha mshindo nyani mwenye kitoto huwa anaweza kutelekeza hata kitoto chake kutokana na jinsi wanavyoogopa mshindo wa gobore.Mkuu huo mtego vp unaweza kunishirikisha pia? Make huku huyu noah nae ni noma... Nataka kulima muhogo pia ila nawaza namna ya kumkontroo bwana noah... Ntashukuru
Njia ya kwanza watege, ukishamnasa mmoja na kumuua mtundike sehemu awe anaonekana wazi, nyani watahama eneo hilo. Njia ya pili tafuta wenye leseni ya bunduki za shambani, wakipigwa risasi wawili kwa mkupuo, nyani watahama kabisa eneo lako. Njia ya sumu sio nzuri, japokuwa inaweza kuwauwa wengi kama utatumia ndizi mbivu, lakini hakikisha sumu hiyo hainuki.
Pole, na mimi walinisumbua sana Mkuranga, baada ya kuwatwanga risasi, nina miaka mitatu sasa hawatii timu pale.
Bro Malila nitapataje mtu wa kunipigia risasi hawa wadudu wananiludisha nyuma sana mpaka nakata tamaa plz naomba msaada ata wa kuniunganisha na hao maliasili.
Dawa nyingine ni pilipili ya unga unaweka kwenye kopo lililo tobolewa chini na unalitunfika juu pamoja na nyama au ndizi

Shambani kwako ni wapi mkuu???!!
Kama ni sehemu ambayo kuna nyani wengi basi hakika mpigaji yupo hapo hapo!!!
Huhitaji mali asili wala anatakiwa raia tu mwenye bunduki na risasi za wanyama siku wategee ndizi hata mkungu wakikusanyika pale gonga katikati kwa umbali mzuri hukosi wawili wa watatu na wanalia kama watu wakiumia!!!!
Utapumzika then watarudi piga tena wakijua kuwa ni zoezi endelevu wanahama mazima!!!
Ila kama umeamua kulima kabisa ikiwa ni shughuli yako, fika mzinga nunua yako kabisa zipo za kichina pale pump action risasi tano unapandisha moja zinakaa sita baaaas!!!!
Kila ukifika ukiwakuta unapiga tu kama hawako kwako ila unawasikia piga tu free shot wakisikia mlio wanatokomea!!!!