ntmgenesis
Senior Member
- Apr 22, 2010
- 167
- 30
Ha ha haaa sasa ikiwaingia machoni si unaweza baki unacheka tu!!!!
Tena hii pilipili nasikia hata Tembo anaikimbia!!!
Wajumbe!! Naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya nyani. Siendelei kwa sababu yao, wanakula sana vifaranga wangu.
Nawasilisha.
Bro Malila nitapataje mtu wa kunipigia risasi hawa wadudu wananiludisha nyuma sana mpaka nakata tamaa plz naomba msaada ata wa kuniunganisha na hao maliasili.
Jf raha sana. Mm sikujua kama nyani anakulaga vifaranga