Mimi nimesoma Boys enzi hizo siyo co education. Ni shule nzuri lakini imechoka siku hizi kimajengo. Kuhusu walimu sina uhakika sana wapo akina nani lakini kipindi hicho mwl wa Bios alikuwa Ntagaye, Chemistry alikuwa Mapalala aka Maps, Physics mtu mmoja matata sana alikuwa anaitwa Ndimbo aka Boys pressure.
Sidhani kama walimu hao wapo mpaka leo. Lakini academically siyo wabaya sana kama ukikomaa. Mazingira yanaruhusu kujisomea maana iko 7kms kutoka stand kuu. Kwa kuwa mazingira ya shule yanafana siku hizi mengi ukipiga tution kuchanganya na darasa unaweza kutoka.