Kwa anaejua anisaidie tafadhali

jack 1

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
61
Reaction score
63
naomba kuuliza utaratibu/ sheria ya ustawi wa jamii inakuaje kama unataka baba wa mtoto amtunze mtoto?
 
Nenda office za ustawi wa jamii wilayani kwako. Utapata muongozo au barua ya wito kwa baba wa mtoto!
 
Nenda mahakamani hilo suala lipo kwenye sheria ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…