Kwa anaejua anisaidie tafadhali

Kwa anaejua anisaidie tafadhali

jack 1

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
61
Reaction score
63
naomba kuuliza utaratibu/ sheria ya ustawi wa jamii inakuaje kama unataka baba wa mtoto amtunze mtoto?
 
Nenda office za ustawi wa jamii wilayani kwako. Utapata muongozo au barua ya wito kwa baba wa mtoto!
 
Back
Top Bottom