Kwa anaejua kuhusu dit please!!!

Kwa anaejua kuhusu dit please!!!

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
jaman naomba kuuliza nackia kuwa kuna vyuo wamefanya selection kama DIT na vyuo vingine je wameangalia vigezo gani?

msaada plz!!!!!
 
Ha! Mkuu niliapply labaratory tech Kwa phy d math f bio c na chem c naona jina langu silioni kweli majanga sijui na wizara ya afya itakuaje maana niliomba dip ya clinically officer
H

Mkuu Math ndyo kila ki2 DIT sasa kma Math ndyo hvyo cjui itkuwaje
 
we acha tu mkuu ndo washanitosa tena!Ngoja nisikilizie co nayo sijui itakuaje

Vp mwenzangu uliomba au ndo ulikuwa unaxbil selection 1kwa1?
 
nina phy F,chem C,math D, na bios D..kwa dit watanichukua au medical lab wizara ya afya?
 
Kama f ingekuw ya bios or chem kwa baadh ya course wangekubeba kwa pre entry course bt phyx n majanga
 
Back
Top Bottom