Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Mkuu niliapply labaratory tech Kwa phy d math f bio c na chem c naona jina langu silioni kweli majanga sijui na wizara ya afya itakuaje maana niliomba dip ya clinically officerwaliochaguliwa sahivi ni wa pre entry course, ingia Dar es Salaam Institute of Technology
soma vigezo wanavyotaka kwnye form yao ya kujiunga....
Ha! Mkuu niliapply labaratory tech Kwa phy d math f bio c na chem c naona jina langu silioni kweli majanga sijui na wizara ya afya itakuaje maana niliomba dip ya clinically officer
H
we acha tu mkuu ndo washanitosa tena!Ngoja nisikilizie co nayo sijui itakuajeMkuu Math ndyo kila ki2 DIT sasa kma Math ndyo hvyo cjui itkuwaje
Niliomba mkuuVp mwenzangu uliomba au ndo ulikuwa unaxbil selection 1kwa1?